Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari, 22, 2022 amekuwa Mgeni Rasmi kwenye Tamasha la kihistoria la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro linalofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi.
Maelfu ya wananchi wa Kilimanjaro na kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania wamefurika katika tamasha hili lenye kauli mbiu ya "Utamaduni wetu, fahari yetu, kwa maendeleo yetu, kazi iendelee".
TAZAMA PICHA HAPA CHINI
Post a Comment