RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA IFC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.






PICHA ZOTE NA IKULU MAWASILIANO

Post a Comment

Previous Post Next Post