Akifafanua kuhusu matengenezo hayo leo January 31,2022 wakati wa ziara aliyoifanya na Waandishi wa habari kwenye kituo cha kupoza umeme cha Kunduchi Dar es salaam Maharage amesema Nchi haitokuwa gizani.
Amesisitiza kwamba hakuna maeneo yatakayoathirika kwa siku zote kumi mfululizo kwa kukosa umeme na hakuna eneo litaloathirika zaidi ya siku 3 kwa kukosa umeme ndani ya siku hizo kumi.
Hii hapa ratiba ya mgao kwa baadhi ya mikoa hapa nchini kutokana na matengenezo ya miundombinu umeme 👇
Post a Comment