HUMPHREY POLEPOLE ATEULIWA KUWA BALOZI...

UTEUZI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Humphrey Hezron Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi huku Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akiteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Ibara ya 67(2) (g) ikisomwa pamoja na Ibara ya 71(1)(a). 



Post a Comment

Previous Post Next Post