Mwandishi wa shirika la habari la AFP amesema hayo. Uamuzi huo ulitolewa na jaji Margarita Kotova katika kesi hiyo iliyoendeshwa ndani ya gereza nje ya Moscow.
Haikubainika moja kwa moja ikiwa miaka hiyo tisa itaenda sambamba na hukumu anayotumikia sasa ya miaka miwili na nusu.
Katika tukio jingine, mahakama ya juu ya Urusi imekataa rufaa ya kundi maarufu la kutetea haki za binadamu nchini humo kutaka kufungwa kwa makumbusho yake kucheleweshwe, ili kusubiri uamuzi wa mahakama ya haki za binadamu ya Ulaya.
Kwenye ukurasa wake wa Telegram, kundi hilo limeandika kuwa mahakama imesema sababu za kuchelewesha kufungwa kwa makumbusho hayo sharti ziwe za kipekee.

Post a Comment