Mama aliyefahamika kwa jina la Berthania Zabron na mwanaye Loveness Kulwa mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane wamepoteza maisha huku baba wa familia hiyo Christopher Kulwa Abel akijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa shambani mkoani Kigoma.
Post a Comment