Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu.
Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa 2994 badala ya 3301 punguzo la Shilingi 306 huku Dizeli ikiuzwa kwa 3131 badala ya 3452, punguzo la 320 kwa mkoa wa Dar es Salaam
Post a Comment