AJALI YAUWA ZAIDI YA WATU 10 NA WENGINE KUJERUHIWA MKOANI IRINGA.

 


Ajali yauwa zaidi ya watu 10 na wengine kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya COSTA kugongana uso kwa uso na Lori la Mizigo maeneo ya Changarawe, Mafinga Mkoani Iringa leo june 10 2022.


Akithibitisha kutokea kwa aajali hiyo kamanda wa polisi mkoani Iringa ACP Allan Bukumbi amesema ajali imesababisha vifo zaidi ya 10 kuhu akibainisha kuwa Taarifa zaidi zitatolewa baadaye.


"Ni kweli ajali imetokea na inasadikika watu zaidi 10 wamepoteza maisha papo hapo," amesema. 

Post a Comment

Previous Post Next Post