RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bwn. Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Mcha alikuwa Kamishna wa Udhibiti na Utekelezaji (Control and EQforcement), Makao Makuu ya Marnlaka ya Mapato Tanzania (IRA).

Bw. Mcha anachukua nafasi ya Bw. Msafiri Lameck Mbibo ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wimra ya Madini.

Uteuzi huu umeanza tarehe 5 Desemba, 2021.

Aidha, Mhe. Rais Samia amemteua Balozi Celestine Joseph Mushy kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Austria.

Balozi Mushy alikuwa Katibu Tawala Msaidizi, ()fisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.

Uteuzi hu umeanza tarehe 14Januari, 2022.





Post a Comment

Previous Post Next Post