Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bwn. Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kabla ya uteuzi huo, Bw. Mcha alikuwa
Kamishna wa Udhibiti na Utekelezaji (Control and EQforcement), Makao Makuu ya
Marnlaka ya Mapato Tanzania (IRA).
Bw. Mcha anachukua nafasi ya Bw. Msafiri
Lameck Mbibo ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wimra ya Madini.
Uteuzi huu umeanza tarehe 5 Desemba, 2021.
Aidha, Mhe. Rais Samia amemteua Balozi
Celestine Joseph Mushy kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini
Austria.
Balozi Mushy alikuwa Katibu Tawala
Msaidizi, ()fisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
Uteuzi hu umeanza tarehe 14Januari, 2022.
إرسال تعليق