Soko la Karume lililopo Ilala Jijini Dar es salaam limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo January 16,2021 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijafahamika tunaendelea kufuatilia kwa kina ili kuweza kukufahamisha taarifa mbalimbali kutoka eneo la tukio ikiwemo chanzo cha moto huo.
Endelea kufuatilia Mwanza Digital taarifa zaidi kukujia.
Tazama Video hapa👇
إرسال تعليق