RAIS SAMIA ATEMBELEA KITUO CHA KUWEZESHA WAJASIRIAMALI NCHINI UFARANSA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi. Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea kituo hicho leo Jumamosi Februari 12, 2022 Mjini Paris nchini Ufaransa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha Station F Start Up facility Bi. Roxanne Varza kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo mara baada ya kukitembelea leo Jumamosi Februari 12, 2022 Mjini Paris nchini Ufaransa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya  wabunifu na wafanyabiashara katika kituo hicho cha Station F Start Up Facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho leo Jumamosi Februari 12, 2022 Mjini Paris nchini Ufaransa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya  wabunifu na wafanyabiashara katika kituo hicho cha Station F Start Up Facility mara baada ya kukitembelea kituo hicho leo Jumamosi Februari 12, 2022 Mjini Paris nchini Ufaransa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuoneshwa shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo cha Station F Start Up Facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho leo Jumamosi Februari 12, 2022 Mjini Paris nchini Ufaransa.

Post a Comment

أحدث أقدم