HomeHabari SERIKALI KUSAIDIA WATANZANIA WALIO UKRAINE KURUDI NCHINI MWANZA DIGITAL February 27, 2022 0 Serikali inawasaidia Watanzania takriban 300 waliopo Ukraine kuingia Poland na Romania ambapo kuna utulivu ili waweze kurejea NchiniHadi sasa, hakuna madhara yaliyoripotiwa kwa Watanzania.
Post a Comment