SERIKALI KUSAIDIA WATANZANIA WALIO UKRAINE KURUDI NCHINI

Serikali inawasaidia Watanzania takriban 300 waliopo  Ukraine kuingia Poland na Romania ambapo kuna utulivu ili waweze kurejea Nchini

Hadi sasa, hakuna madhara yaliyoripotiwa kwa Watanzania.

Post a Comment

أحدث أقدم