“Tunapoazimisha mwaka mmoja leo wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan moja ya mafanikio ndani ya mwaka mmoja katika sekta za michezo na sanaa ni Serikali kukamilisha mchoro wa kumbi kubwa za ndani kwa ajili ya michezo na matamasha ya sanaa (Arts and Sports Arena) itakayojengwa Dodoma na Dar. Mchoro huu ni wazo la Arena ya Dodoma wenye taswira ya ngoma ya kiafrika na itachukua watu zaidi ya 15,000,” Mhe Mchengerwa, mkutano na wanahabari mwaka mmoja wa Rais Samia Dodoma leo.
HUU NDO MCHORO WA KUMBI NA MATAMASHA UTAKAOJENGWA DODOMA,KUINGIZA WATU 15,000
MWANZA DIGITAL
0
إرسال تعليق